Mziki Ulimshinda Kwa Kukosa Pesa, Lakini Sasa........
Mmoja kati ya wasanii ambao wanainukia vizuri katika tasnia ya mziki wa kizazi kipya ni msanii Chabush Izo. Japo kua hajaskika sana ila si mgeni sana katika sanaa ya mziki kwani tayari ashafanya kazi katika studio tajika mjini Nairobi, kama vile Homeboys Records na Alpha Records ambako alifanya track kama vile Mimi Nakupenda, Maisha Noma na baadae 'Digital' ambayo alimshirikisha Aim Jeezy.
Ni miaka miwili sasa tangu aache mziki baada ya kuona ya kwamba alikua anafanya mziki na anakosa support haswaa ya kifedha ukizingatia ya kwamba soko linahitaji kazi zenye ubora na huwezi tayarisha kazi za ubora bila hela nzuri. Changamoto hio ndio iliyomfanya asitishe mziki wake ili aendeleze taaluma yake ambayo ameisomea.
'Mda wote nliokua kimya nilikua najenga career yangu ambayo nimeisomea na kwa sasa nashkuru kwasababu nimepiga hatua nzuri na pia nimeanzisha biashara zangu na ni juzi tu nimeweza kununua gari. Kwa sasa nategemea changamoto zingine si kama zile za kwanza lakini naamini nitaweza kupambana nazo. ' Izo ameeleza huku akisema ya kwamba mashabiki watarajie vitu vikubwa sana kuanzia 2017 kwani mda wote aliokua kimya alikua anaandika mziki na tangu arudi studio ametayarisha nyimbo 10 ikiwa 6 kati ya nyimbo hizo ni nyimbo alizoshirikisha wasanii wakubwa kutoka Nairobi na Mombasa. Moja kati ya kazi atakazoachia mwakani ni video ambayo kwa sasa anaitayarisha nje ya nchi.

Love your music chabush
ReplyDeleteHey your music is cool especially Mimi nakupenda
ReplyDeleteI love you chabush am your big fan en I love your music
ReplyDeleteAm happy for you and I wish you all the best you are a good singer and your music is enjoyable keep it up man
ReplyDeleteAll the best man
ReplyDelete