Queen Renee Awazawadia Mashabiki Zawadi Ya Kufunga Mwaka


Umekua mwaka wa kazi kwa msanii Queen Renee. Baada ya kumaliza tour yake ya miezi minne mwishoni mwa 2015 nchini Ujerumani, Italy na Switzerland, alirudi nchini na ku,launch album yake ya CHAMPAGNE. Ni album ambayo imebeba nyimbo 12 na huu mwaka ameachia nyimbo tano kutoka kwa album hii. Ikiwa ndio wiki ya mwisho ya mwaka, Queen Renee ameamua kuwazawadia mashabiki wake video mpya ambayo ndio atakua anafunga nayo mwaka.


Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele