Serah Sarah Afanya Makubwa Na Producer Wa 'Selfie' Ya Koffi Olomide Nchini Rwanda
Mastola ni producer gwiji katika eneo la Afrika Ya Kati, ambaye ni mzaliwa wa Rwanda. Nchini Rwanda na Congo, yeye ni mmoja kati ya ma,producer ambao wameshikilia sanaa ya mziki, hio ni kutoka kwa ujuzi wake mkubwa ambao umemfanya afanye kazi na wasanii tajika kama vile Koffi Olomide, Cool Matope, Fally Ipupa, marehemu Papa Wemba na wengine wengi.
Msanii kutoka Mombasa, hitmaker wa Cheza Kidogo, Serah Sarah alifunga safari hadi nchini Rwanda ili kumfuata producer huyu ambaye walikua wamefahamiana alipokua akiishi Dubai. Walipatana na wakiwa pamoja na Guitarist gwiji, Ibrahim Tamfum, wakafanya PAPASA, (IKO HAPA) ambayo waliirekodia katika studio ya Matola Music na kufanya video kabisa ya wimbo huo....itazame hapa chini...
Comments
Post a Comment