Je Ni Kweli Kundi La MAFIOSO Lilivunjika Baada Ya Kushinda Tuzo?
MAFIOSO ni kundi ambalo liliweza kushinda tuzo ya kundi lenye bidii zaidi katika tuzo za Coast Music Awards mwishoni mwa 2016.
Kuwekua na tetesi ya kwamba kundi hilo lilivunjika tu baada ya kushinda tuzo hio. Tetesi hizo zilianza kuzagaa wakati mmoja wa kundi hilo, Pukka Pisces kuanza kuonekana peke yake mara nyingi kinyume na alivyokua amezoeleka kuonekana akiwa na mwenzake Ruksy. Dalili nyengine ya kuvunjika kwa kundi hilo ni ilijitokeza pale Pukka alipoachia video akiwa peke yake bila mwenzake Ruksy.
'Ni kweli watu wamekua wakiniona peke yangu bila Ruksy ila si eti kundi limevunjika. Ruksy alisafiri, yupo Ujerumani na familia yake kwa sasa ndio maana hata kwa hii video hayupo lakini kundi bado lipo imara sana.' Pukka amesema hayo akikana tetesi hizo. Video hio ya MAFIOSO iiliyoandaliwa na muongozaji X-ANTONIO inaenda kwa jina LOVE ME, ambayo wimbo ulitayarishwa na ma,producer wawili, Morbizz nna Producer BeatsBoy unaweza kuitazama hapa chini.

Comments
Post a Comment