Mfanyibiashara TSS Afariki Dunia
Mfanyibiashara maarufu kutoka jijini Mombasa Tahir Sheik Said amefariki dunia. Akiongea na wanahabari, mwanawe Twahil ni kwamba marehemu amefariki katika hospitali ya Milpark Hospital, mjini Johannesburg, Afrika Kusini alipokua anaendelea na matibabu ambako alipelekwa December 15, 2016 kwa matibabu zaidi.
Mwendazake alikua mfanyibiashara maarufu sana ambaye alikua ameekeza katika sekta ya usafiri, usagaji wa mahindi na ngano katika kaunti ya Mombasa na Lamu. Vilevile ni mmiliki wa moja ya jengo refu mjini Mombasa,TSS Towers.

Comments
Post a Comment