Mwanamitindo Kutoka Mombasa Avamiwa Na Kuuawa
Ni mwanamitindo kutoka Mombasa ambaye alikua anachipuka kwa kasi chini ya mwamvuli wa Shadow Models. Hapo jana mchana alikumbana na mauti akiwa nyumbani kwao maeneo ya Kizingo. Janet Asunah ambaye alipatikana akiwa tayari ameshaaga dunia nyumbani kwao alikua na jeraha la kichwa na kulingana na walioona eneo la tmukio inakisiwa ya kwamba huenda aligongwa kichwani na kuburutwa hadi chumba chake cha kulala.
Mipangi ya mazishi ya Janet ambaye ameacha mtoto wa miaka mitano inaendelea. Mungu amrehemu na Pole kwa familia, ndugu na marafiki, tunawaombea Mungu awape nguvu na wepesi katika wakati huu mgumu.




Sio kitendo kizuri kamwe kutoa uhai Wa mtu mwingine, Mungu awajalie waliowachwa nyuma na tena awape moyo wa kuhistamili uchungu huo.
ReplyDeleteRest in peace.. Very sad.
ReplyDeleteMiss you already janet...RIP
ReplyDeleteMiss you already janet...RIP
ReplyDeletevery sad
ReplyDeleterip
ReplyDelete