Posts

Showing posts from May, 2015

NEW MUSIC; P Square & Awilo Longomba-ENEMY SOLO

Image
Enemy Solo in Lingala means “ smelly enemy ” which simply refers to enemies of progress, bad mind people or as the Nigerian will call it “bad belle” people. Produced by Vtek and is in Psquare ‘s album “ Double Trouble ” the single will also feature in Awilo’s forth coming album yet to be released later on this year. LISTEN / DOWNLOAD HERE

NEW VIDEO: P Square & Awilo Longomba-ENEMY SOLO

Image

NEW MUSIC; Yamoto Band-Cheza Kwa Madoido

Image
DOWNLOAD / LISTEN HERE

NEW MUSIC; Diamond Platnumz Feat Mr. Flavour-NANA

Image
LISTEN /DOWNLOAD HERE

NEW MUSIC: Mo Music-SINA RAHA

Image
LISTEN / DOWNLOAD HERE

NEW VIDEO: Diamond Platnumz Feat Mr. Flavour-NANA

Image

NEW MUSIC: Iyanya-Baby Daddy

Image
LISTEN / DOWNLOAD HERE

THROWBACK THURSDAY- in loving memory of ALBERT MANGWEA

Image

NEW MUSIC: Sajna-Nakosa Story

Image
DOWNLOAD / LISTEN HERE

NEW MUSIC: Jason Derulo Feat J Lo & Matoma-TRY ME

Image
DOWNLOAD / LISTEN HERE

NEW MUSIC: Young Dee-Cowbama

Image
Young Dee amefanya wimbo huu maalum kwa ajili ya marehemu Albert Mangwea aka Cowbama aka Cowizzy aka MIMI aliyefariki siku kama ya leo 28th MAY miaka miwili iliyopita DOWNLOAD / LISTEN HERE

SURPRISE COLLABO YA DIAMOND

Image
Toka mwezi uanze kumekua kukingojea surprise collabo ya Diamond Platinumz na msanii mmoja wa kimataifa. Kupitia Instagram Diamond ame,share form inayoonyesha kuwa ametuma video ya collabo yake na Mr.Flavour iitwato NANA kwenye kituo cha runinga cha BET International ikionyesha kua video hio iliyoongozwa na Godfather inatarajiwa kutoka May 29. Mbali na ku,tease form hio bado management  yake imesema Ijumaa ndio wataweka wazi ni wimbo gani anaotaka kuachia, lakini ni international collabo.  ''Vitu vyote tutasema kwa wananchi wetu Ijumaa.... mashabiki wa Diamond wasubirie mpaka Ijumaa tutaanza rasmi kusema ni wimbo amabo tuna release. ni Diamond na Flavour au ni Diamond na P-Square au ni msanii wa Marekani" Alisema Babu Tale.  

NEW MUSIC: San Dee Feat Nay wa Mitego-Kiboko ya Mabishoo

Image
DOWNLOAD / LISTEN HERE

NEW MUSIC: Trey Songz-ABOUT YOU

Image
Listen / Download HERE

NEW VIDEO; Brezy Feat Malisam-MAMALAO

Image

New Music: AbduKiba Feat Rubby-Ayayaa

Image
Listen / Download HERE

NEW VIDEO: Taylor Swift Feat Kendrick Lamar-BADBLOOD

Image

NEW VIDEO; Wizkid-Expensive Shit

Image

AUGUST ALSINA APOFUKA JICHO LA KUSHOTO

Image
Mashabaki wa muimbaji mkali wa R&B  wa Marekani, AUGUST ALSINA  wameshtushwa na kuhuzunishwa na habari kwamba mkali huyu anapoteza uwezo wa kuona. AUGUST, mwenye umri wa miaka 22, amesema kua ugonjwa wa macho unaomsumbua umesababisha  jicho lake la kushoto kupofuka hivyo basi kumlazimu kufanyiwa upasuaji jicho lake la kulia ambalo nalo linaelekea kupoteza uwezo wa kuona. Kupitia Instagram, ameshare kwa followers wake 2.7million picha akiwa chumba cha upasuaji na kuandika message ya hisia zake kuhusu hali yake

NEW MUSIC: G NAKO- SICHEZI MBALI

Image
Listen / Download HERE

NEW VIDEO: G Nako-SICHEZI MBALI

Image

DAVIDO COLLABOS WITH TREY SONGZ

Image
Ni ndoto kubwa ya artistes wengi wa africa kufanya kazi na wanamziki wakubwa wa America kama vile Tret Songz, lakini kwa hili  tayari David Adeleke aka DAVIDO ashatimiza ndoto hii. Davido ame,confirm kwamba tayari amefanya collabo na superstar aliye na fans wengi sana wa kke, TREY SONGZ. Hint kuhusu collabo hio ilianza kujulikana pale List ya nyimbo za album yake inayokuja ku,leak kabla haijakua confirmed.  Davido ameisifu collabo hio akisema itapendwa sana na mabinti, haswa ukizingatia jinsi TREY SONGZ anavyofagiliwa sana na mabinti hata hapa East Africa.  Davido ali,tweet Album mpya ya Davido-OBO inatarajiwa kutoka mwezi ujao itakua na collabos na wasanii  kadhaa ikiwemo  MEEK MILL ambaye tayari washa,shoot video ya wimbo huo.

SUSUMILA ANA LIPI TENA?

Image
Msanii anayetamba kwa sasa na wimbo unaokwenda kwa jina IHALE Susumila yusuf anategemea kuiachia video ya wimbo huo(ihale) tarehe 25 mwezi   huu wa mei.Akiongea na machampaliblogspot.com,msanii huyo amesema kuwa video hiyo ambayo iliongozwa na Ricky becko iko katika hatua za mwisho kumaliziwa na amewataka   mashabiki wake watarajie video nzuri kutoka kwake.Susumila pia amefunguka na kusema kuwa mashabiki wake watazamie kazi nyingi saana mwaka huu kutoka kwake zikiwemo pia za kushirikishwa ambapo moja wapo ni video ya wimbo alioshirikishwa na busy k unaokwenda kwa jina la kimwana itakayoanza kutayarishwa baada tu ya video ya ihale kutoka.Kwa sasa susumila anazidi   kupeta na single yake ya IHALE pamoja na nyimbo kadhaa alizoshirikishwa kama vile KIDEKIDE aliyoshirikishwa na dazlah na KIMWANA aliyoshirikishwa na busy k.

NEW VIDEO: T.I Feat Chris Brown-PRIVATE SHOW

Image

NEW VIDEO: Ruby-Yule

Image

NEW VIDEO: Chege-MWANANYAMALA

Image

NEW MUSIC: Bizzy K Feat Susumila & Ali B - KIMWANA

Image
Listen / Download HERE

NEW VIDEO-Britney Spears, Iggy Azalea - Pretty Girls

Image

NEW MUSIC: Wizkid-Expensive $hit

Image
Listen / Download HERE

NEW VIDEO: Skales Feat Davido-ALWAYS

Image

NEW MUSIC: Mabeste Feat Barnaba-ULISIMAMA NAMI

Image
Nyimbo hii mpya ya rapper Mabeste aliyo m,feature Barnaba ni dedication kwa mke wake LISA Listen / Download HERE

NEW VIDEO: DJ khaled Feat Chris Brown, Lil Wayne, Big Sean-HOW MANY TIMES

Image

NEW MUSIC: Nay Wamitego Feat Diamond Platinumz-PESA au MAPENZI

Image
Listen / Download HERE

NEW VIDEO: Dream-Amechelewa

Image
AUDIO

TAMKO LA NAY WA MITEGO KUHUSU KILI AWARDS

Image
Baada ya Diamond Platinumz kuzishtumu tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards kwa kusema kua baadhi ya nominees hawastahili na kuna wasanii wazuri wameachwa nje Emmnuel Elbariki au Nay Wa Mitego naye ametoa maoni yake ya tuzo hizo.  Msanii MO MUSIC aliyeta,hit na BASI NENDA mwaka jana na saa hii NITAZOEA amekua chanzo kikubwa cha kashfa za tuzo hizi baada ya yeye kuwa nominated katka category ya BEST MALE ARTISTE OF THE YEAR, wengi wakisema kwambwa alistahili kuwa katka category ya UPCOMING ARTISTE OF THE YEAR.    Kupindia Instagram, Nay alikua na haya ya kusema.... #Mo_Music ndio msanii aliye stahili hii tuzo ya msanii bora anaechipukia. Kila mtanzanzia anaependa na kufatilia Muziki anajua ilo.. cha ajabu hayupo ata kwny iyo category. Wasanii wote waliowekwa kwny hii category (msanii bora anae chipukia) hakuna ata mmoja anae stahili hii tuzo... 1. #Becka_Title sio msanii chipukizi yupo miaka mingi tuh na Hua anafanya poa. 2. #Billnas.. watu kibao hawa...

NEW VIDEO: AT-SIJAZOEA

Image

NEW VIDEO: Amoury Beyby-SEBENE

Image

COMING SOON!!!!!!

Image
Hivi ishawahi tokea Mr. Joseph Mayanja aka Dr Jose Chameleone akatoa nyimbo ikakosa kuwa hit? Baaaaaas, ulipo ukae mkao wa kula maana Legendary huyu wa Africa Mashariki, anayepeperusha bendera ya Uganda anakuja na kitu kipya...

NEW VIDEO; Bantu-Giniwasekao

Image

NEW TRACK; Shuka-Dully Sykes

Image
DOWNLOAD/LISTEN