Posts
Showing posts from September, 2015
NEW MUSIC: Yamoto Band/Mkubwa Na Mwanawe-IMO
- Get link
- X
- Other Apps
Baada ya kutoka track yao ya MADOIDO , ambayo video yake ilifanywa Afrika Kusini na Micheal Uche Ogok/ Godfather na gharama zote kusimamiwa na Diamond Platinumz, Yamoto Band/Mkubwa na Wanawe wamekuja na hii mpya inayoenda kwa jina la IMO. Ni track nzuri sana, wameonyesha uwezo wao kama kawa lakini nahisi Producer Fragga wa Uprise Music hajatendea haki ngoma hii kwani alitumia beat ile ile aliyomfanyia Ali Nipishe katika wimbo wake wa WANAPEPETA. bonyeza hapa ku,download/kusikiliza IMO
EPILEPSY AFRO FASHION FAIR
- Get link
- X
- Other Apps
The event which will be held on 3rd October, at Bishop Hannington Institute, Buxton Mombasa starting from 2pm to 7am is meant to create awareness and raise money to support children living with epilepsy. Clothes and art pieces will be on sale and 20% of the sales proceeds will be contributed to give medical support to children livin with epilepsy. Neo Band Kenya, Margaret Sheila, Moses Mboka & BHI Choir will also be there to entertain. Invite evryone........Come and together lets create awareness and overcome stigmatization Fot Inquiries, contact-0729747026
NEW MUSIC: Dully Melody-HONGERA
- Get link
- X
- Other Apps
Abdul Jimmy au kwa jina la usanii DULLY MELODY ni msanii chipukizi ambaye amejaaliwa uwezo si haba katika utunzi na kuimba. Japo kipaji anacho, ilikua vigumu kupenya kwenye anga za mziki kwa kua hela ilimpiga chenga lakini kwa kua kipaji hakifichiki, msanii Fisherman aliona uwezo wa Dully n akaamua kumgaramia kurekodi kwa Noor Mwamba , MWAMBA RECORDS. Alikiba ndiye msanii anayempa motisha Dully na ni ndoto yake kuja kufanya kazi na gwiji huyo. bonyeza hapa ku,dowload/kuskiliza wimbo huu
Kaa La Moto aingia Bongo movie
- Get link
- X
- Other Apps
Ukizungumzia mziki wa HipHop pwani, bila shaka utakosea usipomtaja msanii Kaa La Moto Kiumbe , msanii ambaye kwa sasa anatamba na kibao chake cha my voice my choice. Hivi majuzi tu Kaa La Moto alikua nchi jirani ya tanzania ambapo alishirikishwa katika movie. Katika movie hio, Kaa ameigiza kama mwanawe muigizaji mkongwe wa bongo movie, Mhogo Mchungu na Bi Rehema . Vilevile Kaa akiwa ni mmoja wa wasanii wanaokuza kiswahili, akiwa Tanzania, Kaa alipata fursa mya kuwekwa katika orodha ya wasanii watakaofanya kazi na BAKITA (Baraza la Kiswahili Tanzania) , baraza lenye mipango ya kukuza kiswahili kupitia sanaa Africa Mashariki .
NEW MUSIC: King Kaka Feat Baraka Da Prince-MOLA
- Get link
- X
- Other Apps
Rabbit aka Kaka Sungura has decided to make Tanzania his 2nd home this year.He was featured by WEUSI in the GERE remix , he then featured 2members of WEUSI in his song titled NAJIPENDELEA . He didnt stop there, he then featured one of bongoz hitmaker Rich Mavoko , who is now signed to his music label, KAKA EMPIRE in 2 songs- NJOO & LINI . Rabbit is back again with this new track which he has features one of the next big hit in East Africa, BARAKA DA PRINCE . The song was produced in tanzania by Mr T Touchez. CLICK HERE TO DOWNLOAD/LISTEN
NEW MUSIC: Obinna Feat Susumila-BUSY BODY
- Get link
- X
- Other Apps
Susumila mwaka huu anashangaza wengi kwani kufikia saa hii hesabu ya nyimbo alizofanya mwenyewe na kushirikishwa mwaka huu ni zaidi ya kumi na hii ni mpya ambayo ameshirikishwa na mtangazaji/presenter/comedian kutoka Nairobi, Obinna Ike Igwe. Hii ni track ambayo naamini itavuruga sana chati za mziki kwani ina mdundo safi na mashairi na flow ya wimbo yako sambamba. BONYEZA HAPA KUSIKILIZA/ KU,DOWNLOAD
***EXCLUSIVE VIDEO*** Obinna Feat Susumila-BUSY BODY
- Get link
- X
- Other Apps
A feel good song done by Obinna the Oga DTop and on this single he features Mombasas hitmaker Susumila who takes the song a notch higher with the coast vibe and flow. The Audio was done at Hybrid Records and video done by Cliptown Media directed by BwuoyP and Obinna. This is Susumilas 5th video this year and he stil expects to release 3 or 5 videos before the year ends