Posts

Showing posts from June, 2015

NEW MUSIC: Fat S Feat Sweet K-WA KWANGU

Image
LISTEN / DOWNLOAD HERE

NEW VIDEO: Navio Feat Mr.Blue-AYAYA

Image

NEW VIDEO: Alikiba-CHEKECHA CHEKETUA

Image
Baada ya kungojea kwa hamu sana, finally Video ya Alikiba-CHEKECHA CHEKETUA   iliyo,direct,iwa na Meji Alabi imedondoshwa.

NEW VIDEO: Black Rhino Feat Ishmae & Younhboy veezo-WE GET IT ON

Image
Baada ya kimya cha mdaa mrefu, huu ni ujio wake mpya Black Rhino akiwa amemshirikisha Ishmael, Dj Leo Large na Youngboy Veezo . Video hii ilitayarisha Africa Kusini.

NEW VIDEO: Rick Ross Feat Future-NEIGHBOURHOOD DRUGDEALER Remix

Image

COMING SOON: Lypso & KDaddy-BADO NASONGA

Image
Ikiwa ni kazi ya Producer Nickson , aliyetayarisha ngoma ya Elani-KooKoo , Lypso na Kdaddy wanatarajiwa kutoa ngoma yao mpya inayoiwa Bado Nasonga. Track hii itadondoshwa pamoja na video yake ikiwa ni kazi ya Director Cobby Joe wa Sportlight Media.

COMING SOON: Chikuzee & Dogo Richie

Image
Hitmaker Chikuzee na mkali wa nyimbo za mapenzi Dogo Richie wanatarajiwa kuachilia bonge la collabo baada ya kukamilika kwa Mwezi wa Ramadhani. Hit hio tarajiwa imepikwa na producer wa Jungle Masters ,  Emmy Dee .

NEW MUSIC: Rabbit King Kaka Feat Rich Mavoko-LINI

Image
Baada ya collabo yao ya kwanza ya wimbo NJOO kupeta sana, Rabbit aka Kaka Sungura na Rich Mavoko wamekuja tena na collabo ingine ya wimbo LINI . Track hii ni kazi ya producer Cedo wa Pacho Studio , Nairobi.   LISTEN / DOWNLOAD HERE

NEW VIDEO: T.I-PROJECT STEPS

Image

Alikiba aonyesha picha zaidi ya utengenezaji wa video inayosubiriwa kwa hamu na gamu-Cheketua

Image
Ikiwa bado mashabiki wa Alikiba wakingojea kutoka kwa video ya Cheketua , Alikiba ameonyesha baadhi ya matukio ya utayarishaji wa video hio. Video hio imeongozwa na Director Meji Alabi wa Africa Kusini. Alabi amefanya kazi na wasanii kadhaa wenye majina ya kutajika kama vile; Asay -Eyo, Seyi   Shay  feat Wizkid -Crazy, Seyi  Shay feat Patoranking , shaydee -Murda

NEW VIDEO: Flavour-POWER TO WIN

Image
FLAVOUR   has released the video to his highly inspirational song POWER TO WIN . The video is inspiring in itself, and showcases different people from different spheres of life, and how they have the power to win when faced with various circumstances. The song was firstl used as the soundtrack for the GLO 2014 Nigeria World Cup campaign . Its success led to FLAVOUR taking the song  to the studio again to develop it. The video was shot in South Africa and is directed by Peppermint Film.

NEW MUSIC: C Nelly Feat Ghosh MC-UTAMU WA MAPENZI

Image
NI msanii chipukizi anayekuja vizuri katika mikono ya producer TEE HITS . Chacha Nelson , kwa jina la mziki C NELLY amemshirikisha GHOSH MC kutoka Tanzania. LISTEN / DOWNLOAD HERE

NEW MUSIC: Ally B-BEMBEA

Image
Mkali wa ziki la nazi ALLY B ameachia kibao chake kipya kwa jina BEMBEA . Ni kazi ya producer mkali wa SQ RECORDS , Mombasa.... AMZ WA LEO . LISTEN / DOWNLOAD HERE

THROWBACK THURSDAY.... SpanSita-WHY LIE

Image
SPAN Sita was a group of 6 individual key people in the gospel music industry who played different roles but worked with one goal – to make a difference in the Coast. SPAN Sita stands for Sophisticated Perfected Everlasting Number Sita. The group as it suggests had 6 members – Bantu, Simaloi, Scarvage, Krystin Ndela, Kimsa & DJ Lenium. SPAN Sita was formed in January of 2006 and the debut track was Why Lie . A year later and the group has an album titled CHINI YA JUA though they later broke up to develop their personal careers.This song and video was produced  and directed by MASTER KENO of BLESSED PRODUCTION , Mombasa.

NEW VIDEO: Chidima- IF E NO BE GOD

Image
CHIDIMA aka Miss Kedike amekuja tena na video mpya iliyoongozwa na CLARENCE PETERS

NEW VIDEO: Dr Jose Chameleone-BWERERE

Image
Joseph Mayanja   aka JOSE CHAMELEONE amekuja tena na video mpya ya nyimbo BWERERE .  Video hii ime,direct,iwa na NOLTON & GEORGE.  

Mjue msanii wa Bongo fleva aliyethibitisha kupata ZERO katika mtihani wa FORM IV

Image
Huwa ni mara chache sana utasikia staa au mtu maarufu kajitokeza au kakubali kuweka wazi kuhusu sehemu aliyowahi kuharibu au kufeli kwenye maisha . Kwenye muziki wa bongofleva tunae Nuh Mziwanda ambaye pia ni boyfriend wa msanii Shilole…… Nuh ameongea ukweli wa moyoni kwenye exclusive interview na millardayo.com na kusema  ‘ Kwenye maisha yangu ninachojutia ni nilivyofeli mtihani wangu wa form IV nilipata Zero kabisa na sikufanya mitihani kama mitatu, yote hiyo ilitokea sababu ya muziki’ ‘ Nilikua mtoto mwenye akili sana na Mama yangu alikua anategemea nitakuja kuwa mtu flani mwenye elimu yake kwenye familia yetu na sio Mwanamuziki, nyumbani kwetu tuko watano na mimi ndio wa mwisho na nilikua nina akili sana kuliko wote na kuanzia la kwanza mpaka la saba nilikua sishuki kwenye Wanafunzi kumi bora ‘  Kwenye sentensi nyingine Nuh anamalizia ‘ Kupata Zero Form IV ni jambo ambalo linanifanya nijute sana mpaka sasa, ningekaza ningekua nafanya muzi...

NEW VIDEO: Cash Era-ZUNGULUKA

Image
And finally, the wait is over. The much awaited video for the song ZUNGULUKA by MR.CHIRINGONGO aka CASH ERA is out. The video was directed by RICKY BEKKO , CLICK MEDIA GROUP . Take a look.....

NEW MUSIC: CashEra-DEBORAH

Image
 And the wait is over...... CashEra aka Mr.Chiringongo has finally rleased his much awaited track. The track DEBORAH was produced by TK2 of NUMBER ONE RECORDS , Mombasa.   DOWNLOAD / LISTEN THE TRACK HERE

NEW VIDEO: Pitbull Feat Chris Brown-FUN

Image

NEW VIDEO: Kala Jeremiah Feat Roma-NCHI YA AHADi

Image

NEW VIDEO: Susumila Feat Kush Tracey-UMENITOSHA

Image
Ni kitu kizuri kuona kwamba siku hizi wanamziki wengi wa pwani wameamua kuukumbatia ubunifu na vile vile kuwekeza kwenye teknolojia ya kisasa kuanzia katika utayarishaji wa nyimbo hadi video za muziki.Hii ni hali inayoamsha matumaini makubwa katika safari ya ukuaji wa muziki wa pwani. Ukweli wa msemo wa pafukapo moshi pana moto unadhihirika wazi hapa, kwani Ikiwa ni masaa machache tu baada ya msanii SUSUMILA aachie ngoma yake mpya UMENITOSHA aliyomshirikisha KUSH TRACEY ,msanii huyo tayari ameachia video ya ngoma hiyo. Kipya na kigeni katika Video hii iliyofanywa na muongozaji RICKY BECKO wa CLICK MEDIA GROUP, Nairobi ni kwamba video hii imefanywa kwa mtindo wa ANIMATION hivyo basi kumfanya SUSUMILA kuwa msanii wa kwanza kutoka Pwani kufanya ANIMATION VIDEO .  ITAZAME 

NEW VIDEO: Avril Feat Rabbit King Kaka-NINAWEZA

Image

NEW MUSIC: Susumila Feat Kush Tracey-UMENITOSHA

Image
Ikiwa ni takriban mwezi mmoja na nusu tangu SUSUMILA kuachia video ya IHALE, SUSUMILA amekuja tena na ngoma mpya akiwa amemshirikisha KUSH TRACEY ambaye amejulikana kwa goma ya HUWEZI NIDANDIA *response ya DANDIA ya KRISTOFF , FRASHA na RABBIT. Ngoma hii imetayarishwa na producer AMZ WA LEO, SQ RECORDS               DOWNLOAD / LISTEN HERE

NEW VIDEO: Madonna Feat Nicki Minaj-BITCH I'M

Image

THROWBACK THURSDAY......Kingsting & Bedbug-SONAI

Image

COMING SOON.....Susumila Feat Kush Tracey-UMENITOSHA

Image
This Saturday,  20th June 2015, SUSUMILA is going to drop a new track titled UMENITOSHA. Featured in this track is KUSH TRACEY. Will this track be as big as IHALE? You will be the judge......you will get to hear the track first and Exclusive right here.

TWENTY TWO finally reveals his new born baby

Image
Steven Mwang i aka Baba Shirleen aka TWENTY TWO finally revealed his new born baby. Twenty two welcomed his 2nd baby 7weeks back but he was fiercely private about the identity and name of his baby. But finally, yesterday through his facebook page he shared a photo of his new bundle of joy.   TWENTY TWO is now a proud father of two daughters. First one being Shirleen , and now...... EUGENIA

Yemi Alade feat Mugeez-POSE

Image

CASH ERA akana madai ya kushindwa kumlipa video vixen

Image
Wanamuita cash era aka mr chiringongo .Ni msanii chipukizi aliyegonga vichwa vya wadau wengi mwaka jana alipodunda na bonge la ngoma kwa jina chiringongo .Bonge la hit ndani humo akiwashirikisha wasanii kigoto na susumila ambao kwa wakati huo walikua chini ya mwavuli wa Hornet Records . Kwa sasa msanii huyu yuko chini ya familia ya Number one records na habari njema kwa mashabiki wake ni kwamba tayari amekamilisha project yake mpya ambayo atakua anaidondosha uraiani hivi karibuni.Huyu hapa msikilize akizungumzia project hiyo pamoja na majibu yake kuhusu kilichosababisha project hiyo kuchelewa pamoja na tetesi zinazomuandama kuhusu yeye kushindwa kumlipa video vixen ambaye alifaa kuhusika katika project hiyo inayotarajiwa.        MSIKILIZE HAPA

NEW MUSIC:Nicki Minaj-DILLY DALLY

Image
                          LISTEN / DOWNLOAD HERE

COMING SOON

Image
Mark your calendars.......  on 22nd JUNE 2015, kijana chipukizi anayekuja kwa kasi sana, aliyetamba na ngoma yake ya CHIRINGONGO aliyomshirikisha SUSUMILA na KIGOTO,na ambaye ngoma yake ZUNGULUKA inatesa kwa  sana hewani, CASH ERA au ukipenda MR.CHIRINGONGO   ....atakua na double release ya video yake ya ZUNGULUKA ( IKO HAPA) , na track mpya inayoenda kwa jina DEBORAH.

NEW MUSIC: KCee Feat Diamond Platinumz-LOVEBOAT

Image
                                                                                 DOWNLOAD / LISTEN HERE

NEW VIDEO: Yamoto Band -NISAMBAZIE RAHA

Image

BENPOL aki,perform katika KTMA 2015

Image

WEUSI waki,perform katika KTMA 2015

Image

Ommy Dimpoz aki,perform WANJERA katika KTMA 2015

Image

NEW VIDEO: P Square Feat Dave Scott-BRING IT ON

Image
P Square have featured Dave Scott in their new song ''BRING IT ON"". The song which is a fusion of R& B and  ROCK is in their Album ''DOUBLE TROUBLE''

NEW VIDEO: Matonya Feat Rich Mavoko-MULE MULE

Image
AUDIO IKO HAPA

MSIKILIZE KAVALIER AKIZUNGUMZIA MZIKI WA PWANI

Image
Kwa kiwango kikubwa kwa sasa mziki wa pwani tunaweza kusema kuwa umepiga hatua tofauti na wakati wa siku za nyuma.Katika kiwango cha sasa kila mmoja anazidi kupambana kufika katika viwango vya juu binafsi na pia kuupeleka mziki wa pwani kiujumla katika viwango vipya kitaifa na hata kimataifa.Kwa upande wake msanii Kavalier ambae kwa sasa anatamba na kibao kwa jina memsoza amefunguka na kusema kuwa kwa sasa kinachohitajika katika mziki wa pwani ni ubunifu.Akizungumza na Mp Kelvin Jilani wa Sifa f.m ,Kavalier amesema kinachoiponza sanaa ya pwani ni idadi kubwa ya wasanii kuigiza mitindo ya kigeni haswa kutoka mataifa ya magharibi ya dunia na magharibi ya Afrika hususan Nigeria na Ghana hivyo basi kuinyima sanaa  ubunifu na utofauti.Msanii huyu ametilia shaka hali hii akisema endapo wasanii wa pwani wangependa kutoboa mipaka na kupeta katika mziki kiujumla wanafaa kubuni mtindo tofauti ambao utakua mgeni kwa maskio ya watu wa nnje ya pwani.kwa mengi zaidi huyu hapa msikilize akifung...

Diamond Platinumz kuzindua headphones/earphones #chibubeats mwaka huu

Image
Kama Dr Dre, Ludacris na 50cents, Diamond Platinumz naye ameingia katika biashara ya headphones/earphones.                                                   Diamond alitangaza project hio alipokua anampongeza Flaviana Matata katika birthday yake. "kama huna taarifa bado, huyu ndiye aliyefanya account yangu ya facebook kuwa verified...na huyuhuyu ndiye aliyefanya kabla ya mwaka huu kuisha nitambulishe #headphones & #earphones zangu! #chibubeats"....aliandika Diamond.

NEW VIDEO: Davido & Meek Mill-FANS MI

Image
The much anticipated collabo from HKN boss-Davido and Meek Mill of Maybach Music is finally here

PWANI CELEBRITY AWARDS NOMINATION CATEGORIES

Image
Pwani Celebrity Awards had earlier released a list of nomination categories which had been suggested by the public. But the team had to revise the whole list to include some more categories after there were alot of complains on social medias that some categories have been ommited. Below is the revised list of the nominations categories; Music: Hiphop artist of the Year (male & female) Male Artist Of The Year. Female Artist Of The Year. Music Group Of The Year . Traditional Group Of The Year . Upcoming Artist Of The Year. Spoken Word Poet of The Year. Gospel Artist of The Year. (Male & Female) Dancehall Artist of The Year. Best Collaboration of The Year. Producer of The Year. Video Producer of The Year. Deejay of The Year. Emcee of The Year. Gospel Emcee of The Year. Dance Group of The Year. Comedian of The Year. Fashion and Design: Male Model of The Year. Female Model of The Year. Fashion Designer of The Year. Mr. & Miss Campus. Photographer ...

NEW VIDEO: Nuh Mziwanda-BILIMA

Image