Posts

Showing posts from October, 2015

Ratba ya Mechi za wikendi za Ligi Kuu Uingereza na Uhispania

Image
Ratiba ya Ligi Kuu Uingereza kwa saa za Afrika Mashariki , Jumamosi -October 31, 2015 Chelsea   Vs   Liverpool   Saa 15:45 Crystal Palace  Vs   Man Utd   Saa 18:00 Man City Vs   Norwich Saa 18:00 Newcastle Vs   Stoke Saa 18:00 Swansea Vs   Arsenal Saa 1 8:00 Watford Vs   West Ham Saa 18:00 West Brom Vs   Leicester Saa 18:00 Jumapili - November 1, 2015 Everton  Vs   Sunderland Saa 16:30 Southampton Vs   Bournemouth Saa 19:00        Ligi Kuu Hispania , saa za Afrika Mashariki , Jumamosi- October 31,2015 Real Madrid   Vs   Las Palmas Saa 18:00 Valencia Vs   Levante Saa 20:15 Villarreal Vs   Sevilla Saa 20:15 Getafe Vs   Barcelona Saa 22:30 Real Sociedad Vs   Celta de Vigo   Saa 00:05 Jumapili -November 1, 2015 Eibar Vs   Rayo Vallecano Saa 14:00 Espanyol Vs   Granada CF Saa 18:00 Sporting de Gijón Vs...

Meet Dulla the African Songbird

Image
Born in Malindi, Abdalla  Abubakar Ahmed better known by his stage name Dula aka African Songbird, aka Triple A   is a Kenyan  Reggae & Afrobeat  Singer/Songwriter and a Producer. He rose to fame when he started producing some of the most successful Kenyan & Tanzania artists like Doggy Man , Madee (, Mahkas (Nigeria), PNC , Susumila , Amoury , Shirko , Ally B , Dogo Janja , Rhymes B (Tz),  Shemakins , Top B (Tz) and many others in 2005 - 2007 being one of the 1st Kenyan producer to produce 'bongofleva's bigwigs. Dula developed an understanding of his musical abilities and an appreciation for his talent while in school making him start his musical journey in 1997 as a singer and later started to record his music and send out demo tapes in 2000.  He has so far released Afro-beat singles like ‘Ulikua wapi' ,  ‘Hurira' and  ‘Sioni Ajabu' . His first solo Album "Wherever you are" which includes singles like `...

Sis P Feat Barnaba-BONGE LA BWANA REMIX

Image
Sis P amemshirikisha mkongwe w bongofleva Barnaba katika remix ya wimbo wake wa Bonge La Bwana ambayo umetayarishwa na Producer Khalid, A Million Records. Ni hatua kubwa kwa Sis P kuweza kumfikia msanii mwnye hadhi ya Barnaba . Hii ni track ambayo inatarajiwa kumuweka Sis P katika sehemu nzuri katika anga za mziki lakini kwa jinsi ninavyomjua Barnaba na uwezo wake wa sauti na utunzi, kiukweli hapa hajamtendea Sis P haki. BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD / KUSKILIZA WIMBO HUO

Hii hapa ni Deborah Refix ya CashEra na kionjo cha video yake mpya

Image
Baada ya kufanya Debora Remix aliyomshirikisha Chikuzee , msanii CashEra aka Mr.Chiringongo alikosana na producer wake TK2 kwa madai ya kua TK2 alimkataza Chikuzee kuenda shooting ya video hio, CashEra amefanya Debora Refix ambayo ndio itakayo tumika katika video atakayoiachia tarehe 3, Novemba 2015. ( ipate hapa ) Hiki hapa ni kionjo cha video hio.

A Million Star Search ilipotelea wapi? Producer Khalid aeleza kwa undani yaliyojiri

A Million Records , kwa uongozi wa Producer Khalid walianzisha A Million Star Search, tamasha ambalo lengo lake ilikua ni kuanzisha mchakato wa kutafuta msanii mchanga aliye na talanta na kusmamiwa na record label hio. Baada ya mda tamasha hilo lilienda chini ya maji na wengi wamekua wakijiuliza maswali kuhusu A Million Stat Search..... Producer Khalid, C.E.O wa A Million Records kupiita ukurasa wake wa facebook alifunguka haya.. Ati A Million Star Search ilienda wapi? Nilipokuja na idea ya A Million Star Search watu wengi kutoka hapa Mombasa walidharau na kukejeli kama kawaida yao. Kitu hawakujua ni kuwa nilikuwa nimetenga one million shillings za hiyo Star Search. 250k mshindi, 150k wa pili na 100k mshindi wa Tatu. Advert ya radio nililipa 150k ndio ikuwe mentioned everyday, judges walitoka Nairobi na host, wasanii waliokuwa wakiperform kama Dazlah, Sudi, Susumila wote walilipwa. Advert za banners, posters and other logistics zili cost sana. Chenye nilitaka ilikuwa rea...

NEW MUSIC: Wasafiri Feat Kidis-SIKUTAMANI

Image
Wasafiri nikundi kutoka mtaa wa Barisheba, Mombasa linalojumuisha vijana wanne; Ticha, Salu Wamakamo,Smart K na Mapi . Kundi lilianzisha mwezi wa Aprili mwaka huu, 2015 na wakafanya track yao ya kwanza ndani ya Green House Record  inayoitwa Msafara Wa Mamba. download/skilza 'sikutamani' hapa  

NEW VIDEO: Young Dee-UJANJA UJANJA

Image
Young Dee, msanii mkali wa hiphop ambaye hivi majuzi alijitenga na Stamina na CountryBoy ambao kwa pamoja walikua wanaunda  kundi la Mtu Chee , ameachia video hii yake mpya iliyoongozwa na Khalfani Khalmandro. Ni video kali ambayo ameifanya kama video ya Wiz Khalifa ya wimbo Dem Boys.

Collabo ya Alikiba na SautiSol ipo njiani

Image
Mkali wa bongofleva, Alikiba aka Kingkiba kama mashabiki wake wanavyopenda kumuita, pamoja na SautiSol kupitia account zao na Instagram wamedokeza ya kwamba kuna collabo wamefanya jijini Nairobi na inafikishwa uraiani karibuni tu. SautiSol wali,post: Kazi ipo. King Kiba na SautiSol.Muziki wa Afrika. #LiveAndDieInAfrika #Kenya#Tanzania Hatuna budi bali kukaa mkao wa kula tukingoja hit hii tarajiwa ikipakuliwa.

Msikilize Dogo Richie akiongelea kazi alizopanga kuachia na skiza kionjo cha wimbo aliomshirikisha Abdu Kiba

Image
Akiwa bado anasumbua anga za mziki na kibao cha wimbo wake wa mziki alimshirikisha Chikuzee, tuliweza kufanya mahojiano na Dogo Richie kujua ni kipi alichopangia fans wake na amejipangaje katika kazi yake ya mziki.... skiliza dogo richie na teaser ya wimbo wake na Abdu KIBA

Kauli ya Mchekeshaji Kingwendu baada ya Kukosa kupata ubunge wa jimbo la Kisarawe

Image
Muigizaji na mchekeshaji Kingwendu aliyekua anagombania kiti cha ubunge jimbo la Kisarawe alikua mmoja ya mastaa wa bongo waliokua wanapigania vyeo mbali mbali katika uchaguzi mkuu uliofanyika siku ya Jumapili 25, Octoba 2015. Mastaa wengine waliokua wakigombania nyadhfa mbalimbali ni kama vile mwigizaji Frank, Professor Jay na Afande Sele. Baada ya kutofanikiwa kunyakua kiti hicho cha ubunge, alikua na haya ya kusema: Kiukweli kabisa matokeo ya mwanzo kabisa ilikua inaonyesha mimi naongoza lakini baada ya kumaliza kuhesabu kura ikaonekana amenishinda yule bwana Suleiman Jafo wa CCM... Nimejaribu na nimethubutu kwa mara ya kwanza kugombea nafasi kubwa ya Ubunge.. nimeenda vizuri tu na sitachoka na wala sitaacha, najipanga tena kwa mara nyingine najua nimekosea wapi na ntajipanga upya na ntaenda kusomea siasa zaidi.. Mwaka 2020 huko nadhani nitakua niko sawa, nakwenda kusomea siasa zaidi ili niijue siasa zaidi na nijue nitamkamata wapi, kuhusu kushawishiwa ku...

NEW VIDEO: AKA Feat Burna Boy, Khuli Chana, Yanga-BADDEST

Image
Rapper kutoka Africa Kusini, AKA aja na video moto inayo top chart ya wimbo  "Baddest" akiwa amewashirikisha Burna Boy, Khuli Chana, na Yanga.  

NEW VIDEO: Kaa Laa Moto Feat Masauti-DEAR HIPHOP

Image
Swahili Hiphop star, Kaa La Moto amerudi na ujio mpya akiwa amemshirikisha mkali wa vocals, Masauti. Kaa La Moto aongeleakuhusu mitaa na Hiphop. Ni wimbo ulioandaliwa na Producer Totti, Kay-G Records na video imeongozwa na Lil Guy G.  

Dogo Richie Aongelea kuhusu wimbo wake wa "Mziki" ambao umezua gumzo

Image
Msanii Dogo Richie amekua kimya kiasi kwenye vyombo vya habari tangu aachilie track ya "Mziki" aliyomshirikisha CHIKUZEE . Track ya "Mziki" kwa sasa ni ngoma ambayo hadi sasa imeendelea kuzua gumzo huku wengi wakijiuliza je ilikua jibu kwa ngoma ya tuliza nyavu ya susumila?...... Je ngoma hiyo ilisababisha beef kati yake na Susumila , uhusiano wake na susumila kwa sasa uko vipi je kuna beef?..je anaizungumziaje beef ya Susumila na Chikuzee ?...huyu hapa Dogo Richie msikilize apate kukujibu maswali yote haya.... BONYEZA HAPA KUMSIKILIZA DOGO RICHIE

NEW MUSIC: Mtu Chee [ Stamina, CountryBoy & YoungKiller] Feat Jux & Deddy-MTU TATU

Image
MTU CHEE ni kundi ambalo lilikua limeunda na rapper watatu- Stamina, Country Boy na Young Dee , lakini hivi majuzi Young Dee alijitoa katika kundi hilo hakidai halina malengo na nafasi yake kuchukuliwa na Eric Msodoki aka Young Killer . Hii hapa ni track yako mpya wakiwa wamewashirikisha Jux na Deddy. Bonyeza hapa kuskiliza/download  

NEW MUSIC: BenPol-TULIA KWANGU

Image
Mkali wa RnB bongo, BenPol ametudondoshea kichupa hiki kipya kwa jina " Tiulia Kwangu'. BONYEZA HAPA KUISKILIZA/DOWNLOAD TRACK HII  

Flavour ft M.I. & Phyno -WISER

Image
Hitmaker kutoka Nigeria, Mr Flavour amekuja na video ya wimbo "WISER" akiwa amewashirikisha M.I na Phyno . WISER imeongozwa na Clarence Peters.  

SUSUMILA AOA

Image
Baada ya kutangaza kuachana na aliyekua mkewe, msanii Susumila hatimaye leo amefunga ndoa na mrembo muigizaji  Kibibi almaaruf Chiriki/Tina. Ni sherehe iliyofanyika maeneo ya Mtopanga na imehudhuriwa na na wasanii na washika dau wengi kwenye sanaa ya mziki na burudani kwa jumla kama vile Gates, Dj Elon, Chriss, O,neal Nyanje, Amourey, Dazlah, Jya Crack, Tee Hits, Rihaha the boss, Kaa Laa Moto...na wengine wengi sana Tulibahatika kupata mualiko wa hafla hii na hizi ni baadhi ya picha kutoka Nikaah ya Sususmila na Chiriku. Tunawatakia kila la kheri, Mungu awazidishie na kuwajaalia wepesi katika ndoa yao