Posts

Showing posts from July, 2015

NEW MUSIC: Selebobo-MIRACLE GIRL

Image
CLICK HERE TO DOWNLOAD / LISTEN

NEW MUSIC:Wiz Khalifa Ft Fall Out Boy – STAYING OUT ALL NIGHT (RMX)

Image
CLICK HERE TO PLAY / DOWNLOAD

NEW VIDEO: Hemedy PHD-IMEBAKI STORY

Image
“I am still proud kushoot bongo sababu locations kali tunazo,” Hemedy alisema hivi karibuni. “Nahamasisha wasanii wenzangu kutumia more nyumbani na kupatangaza pia,” aliongeza. Alisema video hiyo imefanyika kwenye mikoa ya Arusha, Morogoro, Dar es Salaam na Manyara na kwamba imemgharimu takriban shilingi milioni 15 ( tnz shlngs) “Thank God niliweka malengo ya kufanya kitu kizuri home, nafikiri ni video yenye kiwango kizuri na inaitangaza Tanzania pia sababu nimetumia sehemu kubwa kuonyesha uzuri wa nchi.”

NEW VIDEO; Wahu & Moti Ice-NENDA

Image
Baada ya kimya kirefu katika mziki, msanii mkongwe Wahu amevunja ukimya huo na kuja na ngoma hii mpya aliyomshirikisha Moti Ice , ambaye Wahu anasema anaa amani kubwa  sana katika talanta yake.

THROWBACK THURSDAY: Susumila-NGANGARI KINOMA

Image
Mwaka ukiwa ni 2007, Yusuf Kombo aka Kanali au muite tu Susumila , akiwa Greenhouse records katika mikono ya producer mkongwe KShort na Jackoloops alivuma sana na ngoma hii ambayo iliwashirikisha G.I.T na Lady She . Video ilifanywa na Lil Guy G wa Digital Pictures .

Navio ft Dr Sid- WORK IT

Image
West meets East. Ugandan rapper Navio has featured Nigerian singer Dr. Sid in this new joint.

Juicy J feat. Wiz Khalifa-WHOLE THANG

Image
Off February’s Blue Dream & Lean 2 mixtape, Juicy J features Wiz Khalifa in this new jam.

NEW VIDEO: Tyga-MASTE SUITE

Image
This is Tyga s latest release which is set to be featured in his upcoming mixtape ** FUK WHAT THEY TALKIN BOUT **

NEW VIDEO: KHALIGRAPH JONES & DJ CREME DELA CREME- I AM KING / R.I.P COMPETITION

Image
Ikiwa ni mara kadhaa DJ Creme dela Creme amejihusisha mara kadhaa na alama za ki freemason, hata kusemwa kwamba yeye ni member, katika video hii aliyoshirikishwa na Kaligraph Jones hajacheza mbali na na vitu vinavyo shirikishwa na Freemason.

NEW VIDEO: Nyota Ndogo Feat Frasha-UONGO

Image
Kutoka kwaproducer Cedo wa Pacho Entertainment , hii ni mpya kali ya mkongwe wa mziki wa pwani Nyota Ndogo akiwa amemshirikisha rapper wa P-Unit, Frasha.

NEW MUSIC: RUBY BAND-MKANYE MWANAO

Image
Ruby Band wamekuja na yao mpya, moto ikiwa imefanyiwa RUBY RECORDS. CLICK HERE TO DOWNLOAD / LISTEN  

NEW MUSIC; AKA Feat Redsan & StoneBoy-ALL EYES ON ME REMIX

Image
Producer SAPPY ametengenza remix hii ya Mshindi wa Best International Act wa Tuzo za BET, AKA akimshirikisha REDSAN na STONEBOY. bonyeza hapa kuiskiliza  

NEW VIDEO: Dark Master-MADUSKO

Image
Mbali na Noorah aka Baba Stylz , member mwengine ambaye bado ako hai katika Chamber Squad ni Dark Master. Leo ameachini video yake mpya iliyo,direct,iwa KyonaBoy Production . Member wengine waliofariki dunia ni ALBERT MANGWEA na MEZ B [R.I.P].

NEW MUSIC: Dully Sykes

Image
Mkongwe wa bongofleva, Prince Dully Sykes amekuja na yake mpya. BONYEZA HAPA KUISKILIZA

NEW MUSIC; ALIKIBA- SCHOOL BABY **Demo**

Image
Japo wimbo huu haujakamilikia, umevujishwa tu...Inasemekana huenda ikawa hii ndio ile collabo aliyofanya na Davido. BONYEZA HAPA KUSKIZA

NEW MUSIC: BenPol- All Of Me & Drunk in Love (cover-done in swahili traditional dance)

Image
Mkali huyu wa utunzi wa mashairi na mkali wa vocals kaamua kufanya cover ya nyimbo mbili za DRUNK IN LOVE na ALL OF ME katika mahadhi ya kiafrika.....Kama kawaida, ameonyesha umahiri wake wa sauti na amezitendea haki nyimbo izi. BONYEZA HAPA KUSKIZA

NEW MUSIC: Jux Feat Vanessa Mdee-SISIKII remix

Image
Celebrity couple hii, wote wakiwa ni wakali wa sauti wamekuja na remix ya wimbo bora wa  R&B katika tuzo za KTMA 2015 wa Jux- SISIKII. BONYEZA HAPA KUUSKILIZA  

NEW VIDEO: Rick Ross-FAMILY TIES

Image
This is his new release off from his Album which he launched lastyear, Hoodbillionaire.   

ThrowBackThursday... Cannibal & Sharama-STREET HUSTLER

Image
Enzi zile Tabasamu Records , ya producer Bably Omar ikiwa ndio studio iliyokua inatamba sana mombasa, na pwani kwa ujumla, Cannibal na Sharama , members wa kundi kubwa la Ukoo Flani walichipuka na  hit hii ambayo ilikua anthem katika anga za mziki Kenya nzima.

Tulielewana kufanya collabo na Diamond Platnumz lakini ananichezea mchezo wa "paka mshike panya"-D'BANJI. Diamond pia ajieleza

Image
Kokomaster au ukipenda muite D'Banji amelalamika akisema kwamba walipokutana na Diamond walielewana kwamba watafanya collabo lakini Diamond amekua akimpiga chenga. D'Banji ambaye alitwaa tuzi la 'MAMA Evolution ' katika tuzo za MAMA 2015, alisema ana imani ya kwamba kabla mwaka muishe watakua tayari washafanya collabo hio. Diamond naye alieleza ni kwanini amekua akizingua kufanya collabo na D'Banji.   “Tulikutana kule kwenye 'Do Agric' tukafanya Cocoa na Chocolate , tukatakiwa kufanya nyimbo ya mimi na yeye lakini nikaogopa ukianza na msanii mkubwa sana itakuwa kurudi tena itakuwa tabu lazima uanze kwa ngazi kwa ngazi kwa ngazi ili kesho na kesho kutwa ukitoa nyimbo uonekane unazidi kupanda, sio unafanya nyimbo na mkubwa halafu kesho unashuka, nafikiri ndio ikawa sababu pia nyimbo yangu ya kwanza sikuweza kufanya na yeye ya kwanza.” alisema Diamond kupitia 255 ya XXL ya Clouds Fm .

Ni kweli Dogo Richie aliomba picha za uchi? waskilize wahusika wote wawili hapa wakifunguka

Image
Kulikua na tetesi mitandaoni kwamba msanii Dogo Richie aliomba picha za uchi kutoka kwa shabiki wake mmoja wa kike. Picha za maongezi kati ya mlalamishi, kwa jina Rahima zilikuepo kuonyesha uhalali wa malalamishi hayo.  Ili kubaini ukweli, tulilivalia njuga swala hili na kutafta wahusika ili tuskize pande zote mbili na tukutaarifu undani wa swala hili kwani si kawaida watu wazima kuanika maongezi yao binafsi hadharani na tujue mbivu na mbichi. Tulifanikiwa kuwapata wahusika wote wawili na tukafanya mahojiano nao kwa njia ya simu...Bila ya kuongeza maneno kwanza tumsikize msanii dogo richie alikua na yapi ya kusema kuhusu malalamishi ya mwanadada huyo..... BONYEZA HAPA KUMSIKIZA DOGO RICHIE .............   rahima naye aongea Pia tulipata nafasi ya kumhoji mdada mwenyewe mlalamishi ambaye alitapika nyongo na kuelezea upande wake wa stori,huyu hapa msikilize..... BONYEZA HAPA KUMSIKILIZA RAHIMA AKIONGEA .....naam nadhani imeskia kutoka kwa pande zote mbili mizan...

NEW MUSIC: Mchafuzy Feat Kimbo-NATAMANI

Image
Kutoka Crack Sounds Records , kwa producer Jay Crack , hii hapa kazi mpya kutoka kwa Mchafuzy akiwa ameshirikisha MC Kimbo. BONYEZA HAPA KUPAKUA /KUSKILIZA TRACK HII  

NEW MUSIC: 2Chainz-WATCH OUT

Image
He is set to drop his new project [ Trapavelli Tre ] on 13th August , and this is his 1st single off his project. CLICK HERE TO DOWNLOAD / LISTEN

NEW VIDEO: Kid Ink-FASTER

Image

Nimefanya collabo na Alikiba-Davido

Image
Katika tuzo za MAMA 2015 zilizofanyika wikend iliyopita huko Africa kusini, mwanahabari mwenye jina la kutajika kutoka tanzania Millardayo, alipata fursa ya kumhoji Davido katika redcarpet. Katika maongezi yao, Davido ambaye katika tuzo hizo alishinda kama Mwanamziki bora wa kiume Africa, alisema kwamba amefanya collabo na Alikiba. Japo hakutoa ufafanuzi zaidi lakini alisema ni wimbo mkali na watu wausubirie.

NEW VIDEO: Young C feat Johnny Skani & Chapatizo-MA BIRTHDAY

Image
He is 7years old and ready to make headlines in the music industry in Mombasa. He goes by the stage name YOUNG C . In this song which he features Johnny Skani & Chapatizo , he sings about his birthday. Its  TK2-Number One Records production and video directed by Mac Choka .

NEW MUSIC: GNako Feat Nikki wa Pili & Joh Makini-LAINI

Image
GNako amewashirikisha members wenzake wa kundi lao la WEUSI- Nikki wa Pili na Joh Makini katika track hii ambayo imeandaliwa na Producer Nahreel. bonyeza hapa kusikiliza/kupakua wimbo huu

Sana Black Ft Matonya-MAMA

Image
Ni video iliyoongozwa na Tonee Blaze . Wimbo huu ulifanyiwa mapishi na Producer Kapasta4real wa Chaiderz recordz .

NEW VIDEO: Donald & Diamond Platnumz-WANGU

Image
Collabo iliyongojewa kwa hamu sana ya hitmaker Diamond Platnumz na msanii kutoka Africa Kusini imedondosha. Wimbo huu ulirekodiwa katika studio za UNIVERSAL RECORDS, South Africa na video imeongozwa na Justin Campos.

Je mfumo wa mziki wa makundi unaanza kuiteka Mombasa?

Image
Inaonekana kuwa mfumo wa makundi unaanza kuchukua pamoja na kufanya vizuri katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya.Kama umechunguza,haihitaji umakini kuona mafanikio ya kundi la tanzania maarufu kama YAMOTO BAND .Mafanikio ambayo kundi hili limeandikisha tangu kubuniwa kwake ni makubwa kufikia kiwango cha makundi mapya kubuniwa kama vile RUBEEZ BAND ambayo kiujumla pia yamefanya vizuri. Inaonekana wasanii wa hapa mombasa wamechukua muamko wa mfumo huu, na kuanza kujikusanya makundi ya wasanii wenye vipaji ili kuunda makundi mfano wa YAMOTO BAND ili kuleta mapinduzi katika mziki wa mombasa.                                          wasojali band Mfano mzuri ni kundi kama vile WASOJALI BAND lililoko chinini ya mikono ya PRODUCER NOIZER wa GREENHOUSE RECORDS . Kund...

Here are the 2015 MAMA AWARDS winners

Image
The 5th Edition of MTV Africa Music Awards happened last night in DURBAN, South Africa . The event was graced by live performances from acts around the continent and international acts- NEYO & JHENE AIKO .    Best Male AKA (South Africa) Davido (Nigeria) – WINNER Diamond (Tanzania) Sarkodie (Ghana) Wizkid (Nigeria) Best Female Bucie (South Africa) Busiswa (South Africa) Seyi Shay (Nigeria) Vanessa Mdee (Tanzania) Yemi Alade (Nigeria) – WINNER Best Group B4 (Angola) Beatenberg (South Africa) Black Motion (South Africa) P-Square (Nigeria) – WINNER Sauti Sol (Kenya) Best New Act Transformed by Absolut Anna Joyce (Angola) Cassper Nyovest (South Africa) Duncan (South Africa) Patoranking (Nigeria) – WINNER Stonebwoy (Ghana) Best Hip Hop Cassper Nyovest (South Africa) – WINNER K.O. (South Africa) Phyno (Nigeria) Olamide (Nigeria) Youssoupha (DRC) Best Collaboration AKA, Bur...

NEW VIDEO: Numbe One Academia-NIWE NAWE

Image
NUMBER ONE ACADEMIA ni kundi la mziki kutoka pwani ambalo linawajumuishi wakali wanne SUDIBOY, TIZZOH (chapatizo), SHEMBWANA MASAUTI na KIGOTO M'MBONDE . Kundi hili liko katika maangalizi ya producer TK2 wa NUMBER ONE RECORDS . Hii ni video yao mpya ya wimbo ambao unapeta sana hewani NIWE NAWE .

NEW MUSIC:KAZI KWANZA- B.O.B MICHARAZO( Mr Blue, Nyandu Tozzy, Becka Tittle, Blood Gazza, Baby MC, Uswege master, Cotton, Ivason)

Image
Hili ni pini jipya kutoka kwa kundi la B.O.B MICHARAZO( Mr Blue, Nyandu Tozzy, Becka Tittle, Blood Gazza, Baby MC, Uswege master, Cotton, Ivason)... Ngoma hii imefanywa na producer Marco Charlie. click here to download/listen  

NEW VIDEO: KAZI KWANZA- B.O.B MICHARAZO( Mr Blue, Nyandu Tozzy, Becka Tittle, Blood Gazza, Baby MC, Uswege master, Cotton, Ivason)

Image
B.O.B MICHARAZO( Mr Blue, Nyandu Tozzy, Becka Tittle, Blood Gazza, Baby MC, Uswege master, Cotton, Ivason) audio ikiwa ni kazi ya MARCO CHARLIE , na video ime,direct,iwa na A.J wa NEXTLEVEL PRODUCTION , hili hapa jiwe lao jipya kwa jina KAZI KWANZA

NEW MUSIC; Mr Blue-CHANGAMOTO

Image
CLICK HERE TO DOWNLOAD/LISTEN

Msanii wa Injili Mtaliano Eliano afunguka kuhusu mipango yake ya kisiasa

Image
Ukiwa ni mwaka wa uchaguzi Tanzania,kumetokea wasanii wengi wa mziki wa kizazi kipya pamoja na waigizaji kujitokeza na kutumia umaarufu walionao  kugombea nyadhifa mbali mbali za kisiasa inchini Tanzania.Wasanii hawa ni kama vile a Prof Jay,Keisha pamoja na waigizaji steve nyerere na wema sepetu. Inaonekana hali kama hii huenda ikadhihirika wazi hapa pwani kwani ikiwa ni mapema saana msanii wa injili kutoka hapa pwani anayekwenda kwa jina mtaliano eliano amejitokeza na kuweka wazi azma yake ya kuingia kwenye siasa mwaka wa 2017....huyu hapa msikilize akizungumzia ngazi ya kiti atakachogombea,eneo analopania kusimamia pamoja na sababu zake za kujitosa kwenye siasa..   BONYEZA HAPA KUMSKLIZA

CHRIS BROWN HOME RAIDED

Image
Three burglars invaded Chris Brown ‘s Tarzana, California home. In the violent burglary which happend at 2 a.m. Wednesday, Chris Browns aunt was locked in a closet, police in Los Angeles said. According to officials with the Los Angeles Police Department , The singer’s aunt was forced into the closet at the home though she was not injured in the incident. ADVERTISEMENT Chris was not at home during the violent attack, but arrived early Wednesday to talk with police in the wake of the incident. His aunt was by herself when she heard noise coming from the front of the home. When she opened the door to see what it was, the three burglars forced their way into the home, where they stole cash and other assorted items. Lt. Kirk Kelley said that the “recently built home … has security cameras,” which could help in the ongoing investigation. Investigators said that the attack was carried out by three armed black men with handkerchiefs over their faces who...

Mskilize msanii Dazlah Kiduche akizungumzia kuhusu collabo yake na msanii mkubwa wa nairobi

Image
Msanii kutoka studio ya TEE HITS kwa jina la DAZLAH KIDUCHE huenda ikawa sio kichwa kigeni katika skio lako kama wewe ni mfuatiliaji makini wa mziki wa pwani.Msanii huyu mwenye umri mdogo saana amechipuka na kukua kwa kasi ya juu saana katika tasnia ya mziki wa pwani na kufikia sasa, licha ya kuwa ni msanii aliyeanza mziki miaka ya juzijuzi,kwa wakati huu amewapiku baadhi ya magwiji na kuandikisha jina lake katika orodha ya wasanii wachache wanaowakilisha mziki wa pwani kitaifa na kufikia sasa tunaweza kusema kimataifa. Katika siku za hivi majuzi msanii Dazlah ameonekana kuwa mmoja ya wale wasanii wanaojituma saana na kuwekeza kwenye mziki kuanzia upande wa studio,mauz o pamoja na kazi zenye akili ili kukidhi mahitaji ya soko gumu la muziki . Huyu apa dazlah msikilize akizungumzia mengi kuhusu mziki wake, siri ya mafanikio yake pamoja na collabo yake na msanii mmoja maarufu wa Nairobi.   bonyeza hapa kumskiliza