Posts

Showing posts from January, 2016

Orodha Kamali ya Washindi Wa Bingwa Music Awards

Image
Toleo la pili la Tuzo za Bingwa Music Awards zilifanyika usiku wa Ijumaa, 29 Januari 2016 na hawa ndio washindi wa kila kitengo East Africa Artist of The Year Sauti Sol Artist of The Year Kenya The Kansoul Artist of The Year Bahati New Artist of The Year Dufla Diligon Songwriter of The Year Visita Artist of The Year Tanzania Diamond Platnumz Artist of The Year Uganda Cindy Sanyu Artist of The Year South Sudan Mary Boyoi Artist of The Year Rwanda Knowless Dialect Artist of The Year Ken wa Maria Performer of the Year H Art The Band Ever Relevant Artist of The Year Wyre Showbiz writer of The Year Manuel Ntoyai ; The People Daily. Showbiz Personality of The Year Willis Raburu Showbiz Magazine of The Year Pulse Magazine East Africa DJ of The Year Dj Joe Mfalme Deejay of The Year Deejay Crossfade Video of The Year   Papa Dennis Video Director of The Year Enos Olik Entertainment Site of The Year Mpasho ...

Asante kwa tuzo ya Bingwa Awards, lakini siitaki hio Tuzo. Asema Octopizzo

Image
Toleo la pili la Tuzo za Bingwa Music Awards zilifanyika usiku wa Ijumaa, 29 Januari 2016 na washindi kutangazwa. Octopizzo alikua mmoja ya walioikwarua tuzo, akiwa mshindi wa tuzo ya - Comeback Artiste of the Year. Baada kutangazwa mshindi, mkali huyo wa hiphop alifunguka na kueleza jinsi alivyogadhabishwa na kupewa tuzo kama  "Comeback Artiste of the Year". “Thanks for ‪#‎BingwaAwards for the Award last night (Friday, January 29), unfortunately I won’t take the award of “Comeback Artiste Of The Year” I never went anywhere, I’ve been here since my 1st hit single On Top, I put in more work than any artist of my genre, unless you are awarding me for coming back from my Europe tour then it doesn’t make sense,” Hitmaker huyo wa BlackStar aliendelea kutiririka... I never understand awards in this country, I’d rather you acknowledge & respect my work than award me & nominating me for a “comeback” Award which was such a joke, So if you don’t mind please g...

NEW MUSIC: CashEra - MOLLIS

Image
Mwishoni mwa mwaka jana, Cash Era alianzia video ya Deborah ambayo ndio ilikua iwe kazi yake ya mwisho kabla kuchukua likozo ya mwaka katika kazi yake ya mziki. CashEra alikua amepanga kurudi tena katika mziki mwaka wa 2017 baada ya kumaliza shahada yake ya uhasibu. Akiskiza beat flani tu studio, akapiga freestyle na waliokuwepo wakasema mistari hio ilikua inauzito ya kuwa wimbo. Ukiskiza wimbo wenyewe umetumia jina/mfano wa Mollis kutoka kwa audio iliyo,trend sana katika mitandao ya kijamii mwaka jana na hilo ni jambo ambayo lilimpa ugumu Cash Era , kwani angengoja hadi 2017 kuachia track hii basi isingekua na maana. Track hii ni beat ya Producer Amoo, BigDreamz Media na vocals ziliwekwa na Producer Totti. Ilikua ikamilishwe na producer mwengine tofauti baada ya wasanii wengine kuongezea kazi zao lakini walichelewa na kwa sababu ya mdaa ikabidii ikamilishwe tu kama ilivyo. LISTEN/DOWNLOAD HERE

Country Boy Ft G Nako, Chidi Benz, Stamina & Climax Bibo-MTAA KWA MTAA Remix

Image
Mtaa Kwa Mtaa- Country Boy akimshirikisha GNAKO ni moja kati ya track za hiphop ambazo zili,hit sana mwaka jana. Hii hapa ni remix ya hit hio ikiwa mara hii Stamina, ChidiBend na Climax Bibo wameingia mzigoni. DOWNLOAD/LISTEN HERE

NEW MUSIC: Chilibasi Feat SimpleBoy-NAMPENDA

Image
Alianza mziki mwaka wa 2009 kulee Kilifi, Crack Sound Records lakini akachemsha baada ya kuona mziki wa kizazi kipya unamkalia ugumu kiasi. Kwa kua mziki uko ndani yake na talanta anayo, aliingia katika mziki wa bendi na kuanza kuimba bango 2010. Akajiunga kwa mara ya kwanza na bendi ya Fahari Sounds nailipofikia 2012 akaanzisha bendi yake- KAYA International . Baada ya kukutana na Producer Tonny Daddy wa Mo Fire Records , akaona anaweza kufanya tena mziki wa kizazi kipya kwani Producer Tonny anatayarisha mziki wake live hivyo basi kumpa wepesi na kuelewa style yake ya mziki. Hii hapa ni track yake mpya akiwa amemshirikisha SimpleBoy ambaye alishirikishwa pia na SudiBoy katika wimbo wa Amini MIMI. Ni wimbo uliotayarishwa na Producer Tonny Daddy, Mo Fire Records, Mazeras -0703162335. LISTEN/DOWNLOAD HERE

Juma Nature Feat Cannibal: KIDALUSO Lyrics

Image
  [Verse 1 – Juma Nature] Ni mama asiyependa shobo Ni bado mdogo huyo Usimshike kumpa tabu ana mikogo huyo Mume wake nipo karibu hachezi na we Hata kama mzuka unapanda usibagawe Nimegharamia mpaka kaingia, mtoto mia mia mbona ulia Unamdanganya kwa pesa eti wewe milionea Kumbe ni bwege tu, kicheche tu Unadanda juu na unataka kumpitia Eti nonini ni nani anayekuona? eeh! Eti nonini ni nani anayekuona? eeh! Eti nonini ni nani anayekuona? eeh! Eti nonini ni nani anayekuona? Kumbe mimi ndo baba mwenye mke unaniuliza Ukimsumbua shori wangu unaniumiza eh Anacheza kidaluso panda, kidaluso panda panda [Bridge – Juma Nature] Kidaluso (panda) We kidaluso (panda panda) We kidaluso (panda) We kidaluso (panda panda) Kina Mwajuma Ndala-kubwa ndio kawa-0vertake Wa kwangu mimi mwache kiuno akate Ninatumia body spray na si mafuta ya nazi Ufatilie, ufatilie ufanye kazi Mzee wa mapoko poko na manjali, maugali Van’tete va kuntanzanie [Hook] [Cannibal] Mke wangu mkare...

Barnaba kwenye Collabo nyengine tena na wasanii wa Mombasa

Image
Ni mmoja kati ya wasanii wakongwe wa mziki wa kizazi kipya. Amekua aki,hit kila uchao si kwao nyumbani Tanzania tu, bali Afrika Mashariki kwa Ujumla. Naongea kuhusu hitmaker wa Milele Daima , Elias Barnaba almaaruf Barnaba Boy aka Barnaba Classic . Hivi majuzi alshirikishwa na mwanadada kutoka hapahapa nyumbani, Sis P katika remix ya wimbo wa Bonge La Bwana. Siku za majuzi Lamini3, ambalo ni kundi la wasanii kutoka hapa Mombasa linaloundwa na SingleJay, Chriss na Sauda , walifika Tanzania kutayarisha mziki kwa Producer mtajika Bongo- C9. Wakati wakiwa studio wakirecord, Barnaba aliwaskia na akawasifu sana. Vijana hawakuzubaa kwani hapohapo walimuomba Barnaba aingie katika track hio na bila kusita Barnaba aka,record part yake. Kwa hivi sasa Lamini3 wanaendelea kutayarisha video hio ya wimbo DANCE ambao wanatarajia kuachia wakati wowote mwezi wa Februari utakapoanza. Kando na DANCE , kuna track pia Lamini3 wamemshirikisha  Nay wa Mitego

Wema atarajia kujifungua mtoto wa Idris Sultan mwezi wa Agosti

Image
Mshindi wa Big Brother Africa, Idris Sultan alidhibitisha ule uvumi uliokuwepo katika mitandao ya kwamba Wema ana ujauzito na yeye ndio jimbi. Kupitia account yake, Idris alithibitisha ya kwamba Wema ni mama kijacho na anafuraha sana kwa kua yeye ndio mhusika wa kiumbe kijacho na anajivunia mabadiliko na furaha Wema aliyoleta katika maisha yake. Baaade, katika mahojiano na Clouds FM , Idris alifunguka na kusema ya kwamba wanatarajia mtoto wao baada ya miezi 6 au 7 hivi. Idris alitiririka zaidi na kusema ya kwamba yeye binafsi anapenda sana ajue jinsia ya mwanawe kabla kuzaliwa kwani hataki aanze matayarisho ya kumpokea mtoto anunue vigauni kumbe mtoto ni wa kiume, lakini mzazi mwenzake, Wema anampiga kwa hilo kwani anataka jinsia ya mwanawao iwe surprise. Akimalizia alieleza ya kwamba, karibuni watafunga pingu za maisha na hawezi kuzuia watu kuongea kwa kua mara sometimes watu hua wagumu kupokea mabadiliko lakini anaamini masiku yanavyosonga watu wataelewa tu.

NEW MUSIC: Kelechi Africana-BOMBOROBO

Image
Kelechi Africana, msanii mchanga ambaye ana uwezo si hapa. Ukiskiliza hii track hauwezi kuamini ukiambiwa ndio track yake ya kwanza  kwani huyu dogo ameweza. Bomboribo ni track iliyoandaliwa na Producer Hammadoo wa Ghetto Records na Producer Noizer, GreenHouse Records. Ni t rack kali sana ya afrobeat na Kelechi ameimiliki beat na style mwanzo mwisho. Kati ya wasanii watakao teka anga za mziki naamini Kelechi ni mmoja wao iwapo ataongeza bidii na uwezo alionao. LISTEN/DOWNLOAD HERE

Baada ya kukaa kimya kwa mda. Ohzy aeleze kuhusu ujio wake mpya na mipango ya mbeleni

Image
Baada ya kukimya sana katika anga za mziki, msanii huyu wa HIP HOP amejitokeza na kuweka wazi kwamba amerudi rasmi kwenye mchezo na kufikia sasa tayari yuko na takriban track 4 kibindoni ambazo ana uhakika zitasumbua saana katika soko mwaka huu. Katika mahojiano naye OHZY ametaja kuwa kazi nyingi zilimueka nje ya mchezo ila kwa sasa amejitayarisha kuja na utofauti mkubwa huku akihoji kuwa kupotea kwake kwenye mchezo kuliacha pengo kubwa ambalo hakuna msanii ambaye amefanikiwa kuliziba.Hata hivyo msanii huyu kupitia njia ya punchline amemtaja msanii wa hip hop anaemkubali zaidi hapa pwani je ni msanii yupi?   MSIKILIZE OHZY HAPA

Sina Nia Ya Kusign Msaanii Tempoz Asema Amz. Je Sababu Ni Ipi?

Image
Producer huyo ambaye alihama studio za SQ na kufungua studio yake inayojulikana kama TEMPOZ alifunguka mengi kwenye mahojiano ambapo mbali na kanuni za studio yake pia amesema kuwa kwa sasa hayuko tayari ku,sign msanii yoyote katika studio na kuwa wasanii wote watakua wakifanya kazi kulingana na malipo. Kufikia sasa AMZ ameach ilia ngoma kadhaa chini ya studio yake baadhi ikiwa ni HALI YANGU -Vivonce na OYOO -Susumila , KIDALUZO-Juma Nature & Cannibal. MSIKILIZE AMZ HAPA    

NEW MUSIC; Wakimbizi Feat Kidis-TWENDE NYUMBANI

Image
Halo halo nataka kluongea na Mariko...tafadhali dada, kwangu ni wrong number , hio ni mistari kutoka kwa wimbo ulio,hit sana wa Wakimbizi , wasanii wa enzi zile kutoka Nairobi. Walikuja wakapotea sana lakini ndio wamerudi na raundi hi wamshirikisha hitmaker wa Viroboto , Kidis The Jembe. Hawa majamaa hawajapoteza touch na mziki kwani hii track yao iliyoandaliwa SubSahara Entertainment na Producer  Ulopa Ngoma ina mzuka si haba. DOWLOAD/LISTEN HERE

ESCOBAR alikua wapi, na amerudi kwenye sanaa rasmi au ni kwa mda tu... Mskilize

Image
Msanii huyu ambaye kabla awachilie kibao chake kipya cha WANATAKA KUNIJUA alikua amekimya kwa mda mrefu sana mpaka ikafikia wakati kukaanza kuenea stori mitaani ya kuwa alikua amekua makanga, mara amehamia taifa jirani la Tanzania. Nassoro William aka Escobar kwa sasa amejitokeza na kumwaga data zinazosimama  kunyamaza kwake. Msanii huyu ameweka sababu kadhaa mezani mojawapo ikiwa ni masomo. Je anafanya course gani? Na je ana mipango gani mwaka huu kimziki? Pata kujua kama kweli amerudi rasmi kwenye mziki au amejipanga vipi? BONYEZA HAPA KUMSKIZA ESCOBAR AKIFUNGUKA

JE KAA LA MOTO ANA SIFA ZA KUITWA LEGEND WA HIP HOP?

Image
Hivi ni inawezekana msanii aka,hit bila kutoa wimbo mpaka akajulikana kila kona ya mtaa? Katika hali ya ushindani iliyopo kwa sasa katika tasnia ya mziki ni wazi kwamba endapo yupo mtu anayeweza kufanya hivyo basi tuko na kila sababu kumpa sifa zote kwani ni dhahiri kuwa kwake sifa zitakua zimefika nyumbani. Endapo utakua umefuatilia kwa makini nyendo na safari ya msanii wa hip hop KAA LA MOTO tangu alipokua anachipuka hadi sasa utagundua kwamba watu walimjua kwanza kupitia uwezo wake wa kuchana kwenye rap battles cyphers pamoja na kualikwa katika vipindi mbalimbali vya redio mfano MASHAV MASHAV ya Gates Mgenge ambako kila alipokwenda alitema nyongo kiasi kwamba watu mtaani walimkubali tu kupitia ubora wake wa ku freestyle na uwezo wake wa kuheshimu nguzo zote za hip hop kupitia ubunifu wa hali ya juu na punchlines.  Hadi sasa ukichunguza zaidi ijapokua msanii huyu ametoa nyimbo nyingi saana zenye mafunzo na zenye uzito wa mashairi ukweli ni kwamba hazijahit kulingana...

NEW MUSIC A.Y Feat Diamond-ZINGO REMIX

Image
Ni mzigo ambao ulikua unasumbiriwa toka mwishoni mwa mwaka jana. Hatimaye ndio huu umedondoshwa, '' Zee la commercial' ', AY a kiwa amemshirikisha Diamond katika remix ya wimbo aliouachia mwaka jana- ZIGO. DOWNLOAD/LISTEN HERE  

Zari na Wema watufuana huko Instagram

Image
Vita vya maneno kati ya Zari , mabaye ni mam wa mtoto wa Diamond na Wema Sepetu ambaye ni ex wa Diamond vilizuka baada ya mananeo kutoka kwa mashabiki/wapambe wa Wema kuzidi kurusha maneno ambayo yaliaminika kua yalikua yanalengwa Zari. Zari akaamua kuvunja ukimya na akabwaga post akisema;  “Fake cars, fake houses, fake men, fake everything but they are here to judge.. yall look like just had a fight with a tiger,” aliandika Zari. “We feel your pain Dee is a loving man. I know what you u missing but guess what, I gat it all by myself. Sent to hell on a one way ticket buried 6ft under #Kasepa #HeIsHappyNow,”  Wema akaamua naye lazma ajibu jiwe hilo;  “Damn, she really got da energy.....Mi siwezi jamani mambo haya. Kaka kajua kumchanganya dada. Sasa kama kachanganyikiwa si yeye. Mi ningejua kuwa kuna siku nitakuja kummiss kaka nisingemwacha. Akumbuke hilo kwanza. Halafu kingine, hivi mimi ni mwanamke pekee niliyewahi kuwa na kaka au? Maana wenzangu naona h...

NEW VIDEO: Mzee Yusuf Feat Vanessa MDee-MASHALLAH

Image
Gwiji wa mtindo wa mziki wa taarab, Mzee Yusuf amemshirikisha mrembo wa bongofleva, Vanessa Mdee aka V Money katika hii video kali inaoitwa Mashallah iliyootayarishwa na Q.S J MHONDA.  

NEW MUSIC: Darassa Feat Rich Mavoco – KAMA UTANIPENDA

Image
Hitmaker wa ViceVersa , mkali wa hiophop bongo- Darassa ameakuja na hii mpya ambayo amemshirikisha mkali wa nyimbo za mapenzi na hisia Rich Mavoko ambayo imetayarishwa na Producer A BBAH PROCESS. DOWNLOAD/LISTEN HERE  

NEW MUSIC: Dee Bouwy Feat Chapatizo & CLD - NIPE

Image
Kuna songs hua zina mzuka na iwapo utaiskia kama uko down au mayb vianja flani ivi lazma utachangamka na kama umekaa utamka uchez, hii ni kati ya ngoma izo. Kutoka BigSoul Entertainment, Dee Bouwy amemshirikisha mkali wa masauti Chapatizzo na jamaa wa micharazo ambaye alikua missing kidogo kwenye game lakini anajitahidi kurudi anga hizo, CLD. LISTEN/ DOWNLOAD HERE  

NEW VIDEO: GBTz-MPERA MPERA

Image
Walihit enzi zile za nyuma lakini baadae wakatoweka kwenye rada za mziki. Lakini mwaka jana wakaamua kumtembelea Producer Amz . Na matembezi yao haayakua ya salamu tu, kwani ilikua ni kupanga ujio wao mpya katika tasnia ya muziki. Res T, Jitu Zee, K Shadow na Blanco ambao ndio wanaunda kundi ua GBTz waliingia studio na kuanza kutayarisha album kwa jina Mpera Mpera . Mpera mpera ni neno la kimtaani tu linalomaanisha haraka na ndio pia jina la project yao ya kwanza ya album hio. Chini ya maandalizi ya Producer Amz na Director Ricky Bekko wa BigDreamz Media , hii ndio video yao ya project yao ya kwanza- MPERA MPERA.

Kaa Laa Moto Aongelea kuhusu HipHop ya Pwani

Image
Msanii mkali wa HipHop hapa pwani Kaa La Moto hivi juzi alishangaza wengi baada ya kuachia wimbo aliomshirikisha mkongwe wa mziki, Mzee Ngalla ambaye ni mwanzilishi wa mziki wa bango . Track hio imekua gumzo kwani hakuna aliyetarajia au kutabari ya kua inaweza kutokea track ambayo ime,fuse hiphop na bango. Yote tisa, kumi, Kaa La Moto anaichukuliaje hiphop ya hapa Pwani? changamoto ni zipi, anaushauri gani na vipi kuhusu maswala la beef? Msikilize kaa la moto HAPA  

NEW MUSIC: AliKiba-DUNIA SHAMBA

Image
AliKiba ambaye wengi wanasema ndio king wa bongofleva, hitmaker wa Mwana ameanza mwaka na hii yake mpya inayoitwa Dunia Shamba . Kama ulikua unammiss yule Alikiba wa kitambo basi huyu hapa na styl yake ya kitambo. DOWNLOAD/LISTEN

Dazlah aweka wazi kuhusu kusimamiwa na mpenzi wake na Sintofahamu za video ya Bangereba Remix

Image
Mwishoni mwa wiki,  Jay A aliachia video ya IYO , track ambayo amemshirikisha Dazlah Kiduche . Kando na hio, kumekua na minong'ono kuhusu mambo yake binafsi haswa swala la mapenzi, inasemekana ya kwamba mpenzi wake -Lizz amekua akim,support na fedha katika kazi zake za mziki na maisha yake binafsi, na eti, eti lakini , Dazlah alikana  madai hayo, je ni kweli? na anachukuliaje swala hili? Video ya Bangereba Remix aliyomshirikisha Susumila   iliyotayarishwa  mwishoni mwa mwaka jana hata kionjo kuonyeshwa katika mitandao ya jamii, vipi, mbona haija angushwa urainai, kunani? Huyu hapa Dazlah akiweka kila kitu wazi.   MSIKILIZE Dazlah HAPA

NEW MUSIC: Juma Nature & Cannibal - KIDALUSO

Image
Mkongwe wa bongofleva, bongo hiphop, Juma Kassim Ali aka Sir Nature amemshirikisha mkongwe wa hiphop hapa Mombasa , msanii ambaye alikua kimya lakini toka mwaka jana anang'ang'ana kurudi kwenye ramani ya mziki.  Si mwengine bali ni Cannnibal Shattah . Ni track ambayo imetayarishwa na Producer Amz, Tempoz. DOWNLOAD/LISTEN  

NEW VIDEO: Jay A Feat Dazlah-IYO

Image
Hii ni video ya moja ya collabo ambazo zilingojewa toka mwishoni mwa mwaka jana. Huyu hapa ni Jay A , msanii wa Nairobi ambaye ametoka hapahapa mkoani akiwa amemshirikisha Dazlah aka KideKide Master. Audio ya wimbo huu ilitayarishwa na Tee Hits na video ni kazi ya Picha Moja.  

FOUR MOST INFLUENTIAL YOUTHS IN MOMBASA

Image
ALI KUBO Mzaliwa huyu wa Mombasa ambaye alisoma katika shule ya Sekondari ya Tononoka na Chuo cha Ufundi   cha Mombasa ( T.U.M) ni mmoja kati ya vijana walio na ushawishi mwingi katika kaunti ya Mombasa. Kubo ni mpigapicha, mwanamitindo, mwanahabari na pia muigizaji . Kubo amewahi kushiriki katika kipindi cha Mombasati   na pia video za muziki kadhaa kama vile Kitete , ya Amoury , Barua ya Rais - SudiBoy/Jaguar , Dogo Richie na kwa sasa anashirikishwa kuandaa   movie kwa jina   MOYO nchini   Tanzania. Kubo ana ukaribu sana na wanasiasa wengi, kama vile mbunge wa Mvita, Abdulswamad , Gavana Joho na Seneta Sarai . Ukaribu wake na wanasiasa hawa umemfanya kutumika kufanya kazi na vijana na wanasiasa hawa, hivyo basi kuweza kumfanya kuwa na ushawishi mkubwa katika   jamii. Ukaribu huo na wanasiasa umezua minong’ono ya kwamba Kubo anaandaliwa kupigania moja ya viti vya visiasa… kama ni kweli, ni kiti gani atapigania na katika eneo ga...